Sunday, June 25, 2017

Kiongozi wa mwenge wa uhuru asisitiza kukuza umuhimu wa viwanda kukuza uchumi


kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa amesisitiza kushiriki kukuza uchumi wa viwanda kwa maendeleo ya nchi yetu" Piga vita rushwa, ukimwi, malaria na madawa ya kulevya. Amewapongeza sana vijana wa DOYODO katika kukuza maendeleo ya vijana kiuchumi kielimu na kijamii

Vijana wa Doyodo wakiwa katika msafara wa kupokea mwenge wa uhuru


Vijana wa taasisi ya vijana ya DOYODO walijitokeza kupokea mwenge wa uhuru maeneo ya veyula wenye kauli mbiu isemayo "Shiriki kukuza uchumi wa viwanda kwa maendeleo ya nchi yetu" Piga vita rushwa, ukimwi, malaria na madawa ya kulevya.

Mwenyekiti wa Taasisi ya vijana Mr Rajabu Juma N'hunga akipokea mwenge wa uhuru

Mwenyekiti wa taasisi ya vijana ya DOYODO akipokea mwenge wa uhuru wenye kauli mbiu "shiriki kukuza uchumi wa viwanda kwa maendeleo ya nchi yetu"

Friday, June 23, 2017

Naibu waziri Mhe Seleman Jafo akagua mradi wa Elimu unaofanywa na vijana wa DOYODO









 

 Naibu waziri wa ofisi ya raisi tawala za mikoa na serikali (TAMISEMI) Mhe Seleman Said Jafo akipata maelezo kuhusu mradi wa elimu na pia kutoa maelekezo katika ziara ya kuwatembelea vijana wa Dodoma Youth development organization (DOYODO)

Naibu waziri Mhe Seleman Jafo akagua mradi wa matofali Unaofanywa na vijana wa DOYODO




Naibu waziri wa ofisi ya raisi tawala za mikoa na serikali (TAMISEMI) Mhe Seleman Said Jafo akijaribu kufyatua matofali katika ziara ya kuwatembelea vijana wa Dodoma Youth development organization (DOYODO)

Naibu waziri wa TAMISEMI Mhe Seleman said Jafo atembelea Taasisi ya vijana DOYODO




Naibu waziri wa ofisi ya raisi tawala za mikoa na serikali (TAMISEMI) Mhe Seleman Saidi Jafo akiwa katika ziara ya kuwatembelea vijana wa Dodoma Youth development organization (DOYODO)