Tuesday, July 25, 2017


Mwenyekiti wa Taasisi ya Dodoma youth development organization (DOYODO) akiwakilisha katika kupokea mfano wa hundi iliyotolewa kwa vikundi mbalimbali ikiwemo DOYODO ilipokea mkopo rasmi zilikabiziwa na Naibu Waziri wa Tamisemi Mhe Selemani Jafo na Mkulugezi wa Manispaa ya Dodoma

No comments: