Thursday, July 20, 2017

picha za ziara ya shule ya msingi mlimwa c










Mwenyekiti wa Taasisi ya vijana mkoa wa Dodoma DOYODO hakiwa kwenye ziara ya kutembelea shule ya msingi Mlimwa c katika harakati za kutatua changamoto za wanafunzi ikiwemo Maji na zoezi la kugawa vitabu kwa wanafunzi pia Taasisi ya DOYODO kwa kushilikiana na wadau wa Elimu iliweza kuchangia pesa kwajili ya kuvuta Maji shilingi 475,000 na mifuko kumi ya cement kwajili ya ujenzi Taasisi inaendelea kumuunga mkono mh Rais wa jamuhuri wa mungano wa Tanzania kazi za Taasisi ni kusaidia kusukuma Maendeleo

No comments: