Sunday, July 16, 2017

Taasisi ya Vijana ya DOYODO kufanya ziara shule ya msingi mlimwa C

Taasisi ya vijana mkoa wa Dodoma "DODOMA YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION (DOYODO) inatarajia kufanya ziara siku ya jumatano tarehe 19/07/2017 ikiongozana na afisa elimu wa manispaa ya Dodoma, Afisa mtendaji na wadau wengine wa maendeleo kutembelea shule ya msingi mlimwa c iliyopo kata ya miyuji Wilaya ya dodoma mjini kusikiliza changamoto mbalimbali za wanafunzi ikiwemo maji na kujaribu kuzitatua

No comments: