Dodoma youth development organization (DOYODO)
Saturday, July 1, 2017
Tushirikiane kwa pamoja kutokemeza madawa ya kulevya
Dodoma bila Madawa ya kulevya inawezekana tungane kwa pamoja na Taasisi ya Vijana DOYODO kukomesha matumizi ya Madawa ya kulevya kwa Vijana kampeni yetu itawafikia Vijana wote Mkoani Dodoma kila wilaya tungane kutoa elimu
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment