Dodoma youth development organization (DOYODO)
Tuesday, July 25, 2017
Thursday, July 20, 2017
picha za ziara ya shule ya msingi mlimwa c
Mwenyekiti wa Taasisi ya vijana mkoa wa Dodoma DOYODO hakiwa kwenye ziara ya kutembelea shule ya msingi Mlimwa c katika harakati za kutatua changamoto za wanafunzi ikiwemo Maji na zoezi la kugawa vitabu kwa wanafunzi pia Taasisi ya DOYODO kwa kushilikiana na wadau wa Elimu iliweza kuchangia pesa kwajili ya kuvuta Maji shilingi 475,000 na mifuko kumi ya cement kwajili ya ujenzi Taasisi inaendelea kumuunga mkono mh Rais wa jamuhuri wa mungano wa Tanzania kazi za Taasisi ni kusaidia kusukuma Maendeleo
Sunday, July 16, 2017
Taasisi ya Vijana ya DOYODO kufanya ziara shule ya msingi mlimwa C
Taasisi ya vijana mkoa wa Dodoma "DODOMA YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION
(DOYODO) inatarajia kufanya ziara siku ya jumatano tarehe 19/07/2017
ikiongozana na afisa elimu wa manispaa ya Dodoma, Afisa mtendaji na
wadau wengine wa maendeleo kutembelea shule ya msingi mlimwa c iliyopo
kata ya miyuji Wilaya ya dodoma mjini kusikiliza changamoto mbalimbali
za wanafunzi ikiwemo maji na kujaribu kuzitatua
Wednesday, July 5, 2017
Naibu waziri wa Tamisemi awapa pongeza taasisi ya vijana DOYODO kwa harakati zake
Mwenyekiti wa taasisi ya DODOMA YOUTH DEVELOPMENT ORGANIZATION (DOYODO) akiwa na naibu waziri wa tamisemi Mhe Seleman Jafo ofisini kwake. Pia mhe naibu waziri alipata nafasi ya kuzungumza na wanataasisi na kutoa pongezi zake za dhati kwa jitihada zinazoonyeshwa na Taasisi ya DOYODO.
Sunday, July 2, 2017
TANGAZO....Nafasi za kujitolea katika taasisi ya vijana ya DOYODO
Taasisi ya vijana mkoa wa Dodoma (DOYODO) inatakaza nafasi za mabalozi kumi (10) wa kujitolea katika shughuli za kijamii kuanzia leo tarehe 02/07/2017 mpaka tarehe 06/07/2017 hivyo ukiwa kama kijana unayependa maendeleo ya kijamii kielimu na kiuchumi ni fursa ya kuomba kwa kutuma barua ikiwa imeambataniswa na CV katika email yetu doyodoorg2@gmail.com
Saturday, July 1, 2017
Sunday, June 25, 2017
Kiongozi wa mwenge wa uhuru asisitiza kukuza umuhimu wa viwanda kukuza uchumi
kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa amesisitiza kushiriki kukuza uchumi wa viwanda kwa maendeleo ya nchi yetu" Piga vita rushwa, ukimwi, malaria na madawa ya kulevya. Amewapongeza sana vijana wa DOYODO katika kukuza maendeleo ya vijana kiuchumi kielimu na kijamii
Subscribe to:
Posts (Atom)